Msaada ninatatizo la kukosa usingizi

Msaada ninatatizo la kukosa usingizi

The Initiator huru

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
1,993
Reaction score
2,635
Naombeni msaada juu ya Tatizo la kukosa usingizi, kwa baadhi ya siku, Yaani kuna siku huwa nahesabu mabati mpaka asubuhi, usingizi hauji kabisa, nawezaje ondokana na hili tatizo.
 
Punguza matumizi ya simu usiku,punguza mwanga wa display
Badilisha taa yenye mwanga hafifu
Punguza mawazo
Unayemuwwza nayeye anaye wa kwake anayemuwaza
Usipe stress
 
Naombeni msaada juu ya Tatizo la kukosa usingizi, kwa baadhi ya siku, Yaani kuna siku huwa nahesabu mabati mpaka asubuhi, usingizi hauji kabisa, nawezaje ondokana na hili tatizo.
LOG OUT JF THEN NENDA HOSPITALI MKUU
 
Back
Top Bottom