Premise
Member
- Jun 30, 2021
- 35
- 43
Habari za muda huu wana familia wa jamii forum...
Naomba kufahamu tatizo hili kama linatibika maana nimeona hizi habari hapa
Nadhani mimi si wa kwanza kupatwa na tatizo hili. Naomba kufahamu kutoa shahawa zenye damu inasababishwa na nini? Wale mliopitia hali hii mlitumia dawa gani au mliambiwa ni nini na daktari wenu kilichofanya tatizo hili kupona?
Sio kwamba sitaki kwenda kumuona daktar, Nataka uhakika na tatizo hili nilijue kwanza vizuri maana kuna mdau hapa alisema alienda hospital Akaambiwa ni U.T.I.
Sugu Wakampa na madawa but mlejesho wake bado alisema hajapona
Nisaidieni