Msaada: Ninatoa shahawa zenye mchanganyiko wa damu

atafute dawa anywe mapema la sivyo kesho au keshokutwa atarudi hapa kusema sasa yanatoka maziwa. Mwamba next time Msikilize jay mo na ferooz kwenye jirushe kuna mstari unasema "HAPA HAKUNA DEMU WA KWENDA NAYE NYAMA KWA NYAMA"Emb utaarifu mchepuko usizidi kuumiza wengine ukajigange kwanza. Nyumbani asiombe kazi ndugu yetu mpaka amalize dozi
Sijaenda kavu miaka ming mzee
 
Habari za muda huu wana familia wa jamii forum...

Naomba kufahamu tatizo hili kama linatibika
Maana nimeona hizi habari hapa

Nadhani mimi si wa kwanza kupatwa na tatizo hili
Naomba kufahamu kutoa shahawa zeny damu inasababishwa na nini...
Wale mliopitia hali hii mlitumia dawa gan au mliambiwa ni nini na daktari wenu kilichofanya tatizo hili kupona

Sio kwamba sitaki kwenda kumuona daktar, Nataka uhakika na tatizo hili nilijue kwanza vizuri maana kuna mdau hapa alisema alienda hospital Akaamviwa ni U T I
Sugu Wakampa na madawa but mlejesho wake bado alisema hajapona

Nisaidieni
Umelogwa si bure
 
inawezekana ikawa ni tatizo dogo ama kubwa nenda hospitali jielezee vizuri, watachukua vipimo utapata majibu na matibabu, mara nyingi ishu kama hizo ukiziwahi huwa zinatibika 100% kwa haraka.
 
Calm down mkuu, kama ni over 40yrs may inaweza Ikawa ishu umtafute daktar, but if it's below that, sio big issue kama huwa haijirudii periodically, but huwa inapotea baada ya Muda kidogo tuu, hii husabishwa na maambukizi ya ugonjwa wa ngono hasa gonorrhea na Chlamydia so kama una wasiwasi na hayo magonjwa basi wahi Kwa daktari, na kingine kinachosabsbisha ni inflammation, kama ikitokea kuna inflammation yoyote kutoka kule zipokuwa produced Hadi zinapotokea unaweza kuejaculate na damu but huwa inapotea baada ya Muda, si unajua immune system ya binadamu ilivyovnoma,
Cha msingi hajalogwa na chunguza kama unamagonjwa ya ngono
NOTE
Hili tatizo lipo sema wanaume hatuchunguzi sperm zetu baada ya ejaculation ndo mana ni kitu ambacho sio common sana Kwa watu
 
Habari za muda huu wana familia wa jamii forum...

Naomba kufahamu tatizo hili kama linatibika
Maana nimeona hizi habari hapa

Nadhani mimi si wa kwanza kupatwa na tatizo hili
Naomba kufahamu kutoa shahawa zeny damu inasababishwa na nini...
Wale mliopitia hali hii mlitumia dawa gan au mliambiwa ni nini na daktari wenu kilichofanya tatizo hili kupona

Sio kwamba sitaki kwenda kumuona daktar, Nataka uhakika na tatizo hili nilijue kwanza vizuri maana kuna mdau hapa alisema alienda hospital Akaamviwa ni U T I
Sugu Wakampa na madawa but mlejesho wake bado alisema hajapona

Nisaidieni
Kama unakunywa asali kama maji au juice unategemea nini?
 
Calm down mkuu, kama ni over 40yrs may inaweza Ikawa ishu umtafute daktar, but if it's below that, sio big issue kama huwa haijirudii periodically, but huwa inapotea baada ya Muda kidogo tuu, hii husabishwa na maambukizi ya ugonjwa wa ngono hasa gonorrhea na Chlamydia so kama una wasiwasi na hayo magonjwa basi wahi Kwa daktari, na kingine kinachosabsbisha ni inflammation, kama ikitokea kuna inflammation yoyote kutoka kule zipokuwa produced Hadi zinapotokea unaweza kuejaculate na damu but huwa inapotea baada ya Muda, si unajua immune system ya binadamu ilivyovnoma,
Cha msingi hajalogwa na chunguza kama unamagonjwa ya ngono
NOTE
Hili tatizo lipo sema wanaume hatuchunguzi sperm zetu baada ya ejaculation ndo mana ni kitu ambacho sio common sana Kwa watu
Naomba kufaham kama umeshawah kusikia ama kushuhudia mgonjwa wa aina yangu
Maana nikweli niko below 30yrs
Na condom imeusika mechini
Inawezaje kuwa ugonjwa wa ngono
 
mmhhh hakuna hazina kubwa duniani kama Afya ya mwili. Pole sana
 
Fafanua mkuu.
Huyo anajichua kwa kutumia nguvu nyingi mpaka mishipa ya damu inapasuka
Mimi ndie mwenye tatizo sasa nakwambia sio kweli unataka nifafanueje
Au nisimulie ilivyokuwa siku mechi
Labda wapo ambao wanatatizo hili ambao wamelipata kwa kujichua ila mimi sipo
 
Back
Top Bottom