MSAADA: Nini dawa ya chunusi usoni?

MSAADA: Nini dawa ya chunusi usoni?

Weka kipande cha picha za aina ya chunusi hiyo, naamini utapata msaada.
 
Paka sperms usoni, Kwisha kabisa, hutaziona tena
 
Chunusi za sumbua je, Tiba yake ni nini?
Kuna mtu alitumia hii ikamsaidia unaweza kujaribu kama itawork na kwako pia
images%20(7).jpg
 
Achana na dawa za kununua,
Kila ukiamka asubuh kabla hujala chochote paka mate uso wote kisha unaacha yakae nusu saa hiv au lisaa ndo unanawa baada ya siku 5 utakuja kunishukuru tena uso utakuwa bomba sana
 
Kutumia dawa ni probability unaweza pona au zikaendeleA.....pia tambua vitu vinavyoweza changia weee kupata chunusi mfano mm nikila vitu vya mafuta meeng,sabuni special pia zilichangia nipate chunus
 
Tafuta scrub uwe unajiscrub kila siku jioni, au kama hauna uwezo tafuta dodoki uwe unajisugua usoni, chunusi ni uchafu wa ngozi kwahyo unahitaji uisafishe ili iwe free from uchafu..trust me within week 1 utakua soft na usiwe unapaka mafuta yoyote usoni..mimi nilikua na chunusi nyingi nikatumia mafuta kibao, ila tangu nimeanza kutumia dodoki nimekua soft sina kipele hata kimoja
 
Sio kwamba umekuwa?
 
Fanya kufunga, punguza au acha kula vyakura vya sukari na wanga, fanya mazoezi na osha uso wako kwa maji baridi asubuhi.
 
Back
Top Bottom