Hellenah
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 233
- 621
Acha mihemko we pimbi, chunusi ni tatizo sensitive kuliko unavyodhani...as for your case labda ilikua uchafu but sio kwa watu wote iko hivyo.Tafuta scrub uwe unajiscrub kila siku jioni, au kama hauna uwezo tafuta dodoki uwe unajisugua usoni, chunusi ni uchafu wa ngozi kwahyo unahitaji uisafishe ili iwe free from uchafu..trust me within week 1 utakua soft na usiwe unapaka mafuta yoyote usoni..mimi nilikua na chunusi nyingi nikatumia mafuta kibao, ila tangu nimeanza kutumia dodoki nimekua soft sina kipele hata kimoja