MSAADA: Nini dawa ya chunusi usoni?

MSAADA: Nini dawa ya chunusi usoni?

Hivi kiswahili ni lugha yako? Mambo ya kutapeliwa yamekujaje hapa? Hivi wewe ni mtu wa asili gani ya kuwa huoni kuwa kujipaka mate usoni si uchafu? Una proof gani kuwa mate ni dawa ya chunusi? Usikae huko uliko na kudanganya watu tu!
How old are you bra?
Au unataka kuhakikishiwa vizuri kwamba mate ni dawa?
Kama ndiyo!
Basi njia unayotumia si sahihi

Nikwambie tu kwamba jitahidi ukue kwa sababu inaonekana bado ni mdogo kiasi ya kutojua dunia inaendaje kwa mambo tu ya kawaida
dunia ina mengi sana hii utaendelea kujionea na kuchukulia mambo kawaida

Mate yana ant bacteria na ndiyo sababu yanasaidia kwenye shida hiyo

Lakini hivi kwanini unakaa na uchafu mdomoni nanii?
 
Sitokujibu nina umri gani bali nitakujibu kwa kuamua kuachana nawe na sina haja ya kuendelea na majadiliano na wewe. Ila kama mate yanatibu chunusi ni kwa nini hakuna dawa yeyote ile duniani kote katika dawa za chunusi ambayo inatumia mate kama moja ya ingredients zake? Usipoteze muda wako na wangu kunijibu, just kaa kitako na ujiulize hilo. yaani mabingwa wote wa masuali ya ngozi duniani wawe wameshindwa kugundua hilo?
 
Mfano mtu anaweza kuuliza dawa labda ya tumbo ni nini ukamwambia akatumia na akapona
siku nyingine na yeye aliyesaidiwa leo akakutana na mtu mwenye shida kama ile ya tumbo maana yake atamwambia mwenye shida ya tumbo tumia kitu fulani ni dawa mimi ilinisaidia

Inakuwa ndiyo hiyo na mambo yanaisha ila wewe sasa unataka huyu mtu akupe maelezo ya kitaalam jinsi dawa inavyofanya kazi na imeudwa na nini
Maisha hayako hivyo
Nimegundua umri wako ni mdogo tumia njia nzuri kujifunza mambo

Unaniambia kwamba umefanya uchunguzi wa dawa zote duniani (are you sure)?
Na haujakuta mate kama yametumika?

Hebu niambie mate yanaudwa na vitu gani mpaka kuwa mate
Ilibidi uchunguze mate yanaundwa na nini alafu hivyo viunda mate uvitafute kwenye hizo dawa zako
Lakini jibu fupi ni kwamba
Mate ni ant bacteria na dawa lazima ndani kuna acid kangalie hilo
 
Back
Top Bottom