BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Hiyo ni kawaida, lakini huwa unatoa maziwa? Kutoa maziwa si kawaida.
Kidoogo angefanana na mm,, hata mm pia nikikaribia period huwa maziwa yanajaa sana alafu chuchu zinauma vilivyo