Moja ya idara inayohitaji kufumuliwa ni hii,, kuendana na kasi ya JPM inabidi JPM mwenyewe ahakikishe anadeal na TISS kuiweka sawa kwanza, TISS haiko sawa kikazi, baadala yake limekuwa genge la wanasiasa na kimbilio la wale kamlete na sio tena ile TISS ya zamani tulioijua. Kuendana na kasi ya dunia na technolojia basi naweza sema TISS ya tanzania imeachwa nyuma hatua nyingi sana na dunia na inaonekana haifanyi kazi kizalendo kabisa.. TISS + JWTZ ni taasisi zinazotakiwa kufanya kazi kwa karibu sana ili kulisaidia taifa kimaendeleo,, moja kuwa na viongozi sahihi, mbili kudhibiti mamluki kwenye uongozi,tatu kuhakikisha maslahi ya taifa yanalindwa popote pale, nne kuhakikisha usalama wa kila kiongozi na wananchi wa tanzania, tano kuhakikisha kuna future ya taifa miaka mingi mbele,nk.. ukiangalia TISS yetu imejaza vijana masharobaro wapenda sifa mtaani,wanyanyasaji watu mitaani, vibaraka wa wanasiasa... JPM IMULIKE TISS IFANYE KAZI KIZALENDO, IKIWEZEKANA IFUMUE MAANA PALE JWTZ WAPO VIJANA WAZALENDO WANAWEZA KUFANYA HIYO KAZI...