Msaada: Nini kinatakiwa kufanyika ikitokea kikundi kimoja kilishindwa kesi lakini kikaendelea kushirikiana na wizara kuendelea kupinga hukumu hiyo?

A

Anonymous

Guest
Naomba kujua, hivi ikitokea kuna vikundi viwili vinashtakiana mahakamani na kikundi kimoja kikashindwa na kingingine kilichoshindwa kikakaidi kutumia hiyo hukumu, na kushirikiana na wizara wanaendelea kuvunja hiyo hukumu.

Nini kinachoweza kufanyika ili kuondoa huu mkorogo?

Hasa vikundi vya dini.
 
Naomba usome vizuri Hoja au swali lako na ikibadi uifanyie marekebisho kwani inaleta mkanganyiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…