amina!!!! asante kwa hilo.Pole, kukataliwa sio mwisho wa maisha accept it and move on kubali ndani ya moyo wako kua ts over focus na hapo ulipo huku ukiendelea na mipango mengine my dear riziki mafungu saba leo umekosa hapa kesho utapata pale have faith pray hard mambo yatanyooka pendelea sana kujichanganya na watu tafta psychologist atakusaidia
Bila shaka utakua mmoja kati ya watu "introverted personality" na kujikuta unabugia mambo tu bila kuyatoa na kujaribu ku solve mwenyewe. Socialize, have fun na maisha utayaona katika mwanga mpya. Ukiweza kaa na watu wapya kabisa na mki "click" huwa wanakubadili jinsi unvyoangalia mambo,
ASante mkuu!!! shrink ndo waaina gan? kunifanyia physical inakuwaje hapo?
Of all your words...I have only seen that mtani.Depression...huwa nasema tunawadharau sana watu wa saikolojia na afya ya akili. Lakini hawa watu ni muhimu sana kwa dunia ya sasa...
Kingine, have great sex...inapunguza mawazo[emoji12]
Mtani, you and I know very well how sex soothes one's nervous system.[emoji125] [emoji125]Of all your words...I have only seen that mtani.
Njoo inbox Dada..Habari za hapa!!
hii hali siielewi itaisha lini! huwa nakuwa mkali ghafla inayoambatana na mawazo mengi kiasi kwamba hadi inaathiri mfumo wa hedhi Najikuta inakuwa mara 2 kwa mwezi hasa pale mtu anaponigusa mamboyaliyoniathiri ubongo hadi leo mambo hayo ni;
1] kukosa kazi kwenye taasisi yoyote [serikalini] niliyoidhamiria tangu nipo chuo,, mpaka leo hii nasota taasis binafsi huwa naumiaga sana sasa mtu akinigusia hapo tu nakuwa mkali nawaza kichwa kitauma mpaka nimeze paracetamol ndo kitatulia.
2] KUsalitiwa na mwenzangu niliokolewaga na mam baada ya kutaka kumeza piriton 90 ili Nipotee dunian naukizingatia kazi nliyoitaka sijaipata,, mchumba tuliekuwaga na malengo nae kazalisha Mwingine sas ya nin nibaki? sasa baada ya kufeli kujitoa duniani,, nimebaki na mawazo na hasira za ghafla kwa vitu hivo,
POMBE situmiagi kabisa japo kuna watu waliniambia nitumie,,,,, juzi tu apa kuna mtu tunatanianaga nae aligusa moja kati ya ivo ghafla nikawa mkali nikamtext kiukali yaan mawazo yakarudi upya,,.
Sasa nisaidieni.
Thimanyije mtani...niwiraki how..tehMtani, you and I know very well how sex soothes one's nervous system.[emoji125] [emoji125]
[emoji85] [emoji85] Nithikiya thoni kukuvwira mtani. Kwani we tumanyije iti kuyaana ni kweri he mwiri?Thimanyije mtani...niwiraki how..teh
Habari za hapa!!
hii hali siielewi itaisha lini! huwa nakuwa mkali ghafla inayoambatana na mawazo mengi kiasi kwamba hadi inaathiri mfumo wa hedhi Najikuta inakuwa mara 2 kwa mwezi hasa pale mtu anaponigusa mamboyaliyoniathiri ubongo hadi leo mambo hayo ni;
1] kukosa kazi kwenye taasisi yoyote [serikalini] niliyoidhamiria tangu nipo chuo,, mpaka leo hii nasota taasis binafsi huwa naumiaga sana sasa mtu akinigusia hapo tu nakuwa mkali nawaza kichwa kitauma mpaka nimeze paracetamol ndo kitatulia.
2] KUsalitiwa na mwenzangu niliokolewaga na mam baada ya kutaka kumeza piriton 90 ili Nipotee dunian naukizingatia kazi nliyoitaka sijaipata,, mchumba tuliekuwaga na malengo nae kazalisha Mwingine sas ya nin nibaki? sasa baada ya kufeli kujitoa duniani,, nimebaki na mawazo na hasira za ghafla kwa vitu hivo,
POMBE situmiagi kabisa japo kuna watu waliniambia nitumie,,,,, juzi tu apa kuna mtu tunatanianaga nae aligusa moja kati ya ivo ghafla nikawa mkali nikamtext kiukali yaan mawazo yakarudi upya,,.
Sasa nisaidieni.
Ukishatoswa bhana ku trust kwa mara ya pili ni ngumu kama kumeza mate uliyokwisha kuyatema,but I too believe that love cures broken heartsUkipata mwenza mkapendana, you will forget all these..!!
Mtani, nekiti thimanyije nneoka nateta mongo, neicho nakikunda mtani, shinjia mpoa.[emoji85] [emoji85] Nithikiya thoni kukuvwira mtani. Kwani we tumanyije iti kuyaana ni kweri he mwiri?
Love is a free medicine...!Ukishatoswa bhana ku trust kwa mara ya pili ni ngumu kama kumeza mate uliyokwisha kuyatema,but I too believe that love cures broken hearts
Karibu sanaamina!!!! asante kwa hilo.