Msaada: Nini sababu ya kuwa mkali ghafla?

Msaada: Nini sababu ya kuwa mkali ghafla?

Pole, kukataliwa sio mwisho wa maisha accept it and move on kubali ndani ya moyo wako kua ts over focus na hapo ulipo huku ukiendelea na mipango mengine my dear riziki mafungu saba leo umekosa hapa kesho utapata pale have faith pray hard mambo yatanyooka pendelea sana kujichanganya na watu tafta psychologist atakusaidia
amina!!!! asante kwa hilo.
 
Bila shaka utakua mmoja kati ya watu "introverted personality" na kujikuta unabugia mambo tu bila kuyatoa na kujaribu ku solve mwenyewe. Socialize, have fun na maisha utayaona katika mwanga mpya. Ukiweza kaa na watu wapya kabisa na mki "click" huwa wanakubadili jinsi unvyoangalia mambo,

We're on the same wavelength there.

Sounds to me, based on her account, she's to a degree afflicted with some pent-up frustration.

She needs to find a better way of venting it out other than snapping which she says has been costly to her.

And that better way would be finding someone who is non-judgmental and whose main job is to listen to her.
 
ASante mkuu!!! shrink ndo waaina gan? kunifanyia physical inakuwaje hapo?

Shrink ni psychiatrist au psychoanalyst.

Physical ni ukaguzi wa afya tu ambapo utapimwa viwango vya homoni, thyroid, na mengineyo ili kuondoa au kuhakiki visababishi vya kimwili vinavyopelekea wewe kupatwa na hali uipatayo.
 
Depression...huwa nasema tunawadharau sana watu wa saikolojia na afya ya akili. Lakini hawa watu ni muhimu sana kwa dunia ya sasa...

Kingine, have great sex...inapunguza mawazo[emoji12]
Of all your words...I have only seen that mtani.
 
Habari za hapa!!

hii hali siielewi itaisha lini! huwa nakuwa mkali ghafla inayoambatana na mawazo mengi kiasi kwamba hadi inaathiri mfumo wa hedhi Najikuta inakuwa mara 2 kwa mwezi hasa pale mtu anaponigusa mamboyaliyoniathiri ubongo hadi leo mambo hayo ni;

1] kukosa kazi kwenye taasisi yoyote [serikalini] niliyoidhamiria tangu nipo chuo,, mpaka leo hii nasota taasis binafsi huwa naumiaga sana sasa mtu akinigusia hapo tu nakuwa mkali nawaza kichwa kitauma mpaka nimeze paracetamol ndo kitatulia.

2] KUsalitiwa na mwenzangu niliokolewaga na mam baada ya kutaka kumeza piriton 90 ili Nipotee dunian naukizingatia kazi nliyoitaka sijaipata,, mchumba tuliekuwaga na malengo nae kazalisha Mwingine sas ya nin nibaki? sasa baada ya kufeli kujitoa duniani,, nimebaki na mawazo na hasira za ghafla kwa vitu hivo,

POMBE situmiagi kabisa japo kuna watu waliniambia nitumie,,,,, juzi tu apa kuna mtu tunatanianaga nae aligusa moja kati ya ivo ghafla nikawa mkali nikamtext kiukali yaan mawazo yakarudi upya,,.

Sasa nisaidieni.
Njoo inbox Dada..
 
Kuajiriwa na serikali mmh sitaki mm KITU HICHO Kama njaa, SASA ww mpaka unaugua hiyo noma aisee
 
Habari za hapa!!

hii hali siielewi itaisha lini! huwa nakuwa mkali ghafla inayoambatana na mawazo mengi kiasi kwamba hadi inaathiri mfumo wa hedhi Najikuta inakuwa mara 2 kwa mwezi hasa pale mtu anaponigusa mamboyaliyoniathiri ubongo hadi leo mambo hayo ni;

1] kukosa kazi kwenye taasisi yoyote [serikalini] niliyoidhamiria tangu nipo chuo,, mpaka leo hii nasota taasis binafsi huwa naumiaga sana sasa mtu akinigusia hapo tu nakuwa mkali nawaza kichwa kitauma mpaka nimeze paracetamol ndo kitatulia.

2] KUsalitiwa na mwenzangu niliokolewaga na mam baada ya kutaka kumeza piriton 90 ili Nipotee dunian naukizingatia kazi nliyoitaka sijaipata,, mchumba tuliekuwaga na malengo nae kazalisha Mwingine sas ya nin nibaki? sasa baada ya kufeli kujitoa duniani,, nimebaki na mawazo na hasira za ghafla kwa vitu hivo,

POMBE situmiagi kabisa japo kuna watu waliniambia nitumie,,,,, juzi tu apa kuna mtu tunatanianaga nae aligusa moja kati ya ivo ghafla nikawa mkali nikamtext kiukali yaan mawazo yakarudi upya,,.

Sasa nisaidieni.

Pole sana mpendwa kwa yote hayo yaliyokukuta. Kutokana na maelezo yako, sababu ninayoiona kwako ambayo inakufanya upate matatizo yote hayo ni kushindwa kukubaliana au kukubali hali au tatizo ambalo limekwenda kinyume na mipango au matarajio yako.

Yakupasa uelewe kuwa everything happens for a reason na si kila jambo unalopanga au unalotamani litokee linaweza kutimia. Wakati mwingine wewe unaweza kupanga hivi kwa kudhani kuwa njia hii au uamuzi huu ni sahihi kabisa lakini kumbe wewe unaweza ukawa umekosea na Mungu akuepusha na balaa ambalo lingetokana na maamuzi yako hayo mabaya au wakati mwingine wewe unaweza ukapanga hivi lakini Mungu akakunyima kile ulichopanga wewe kwa vile ana mipango mizuri zaidi ya hiyo uliyopanga wewe juu yako.

Mshukuru Mungu kwa kila jambo na jaribu kuridhika na kile Mungu anachokupa hata kama si kile ulichokiomba maana kuna wengine hata hicho ulichonacho wewe hawana pia jaribu ku-control hasira zako maana unaonekana wewe ni mtu mwenye hasira sana. Nia njia kadhaa ambazo naweza kukufundisha na zikakusaidia ku-control hasira zako ili zisilete damage ila sitaziandika leo kutokana na muda. Ukizihitaji usisite kunitafuta.
 
UWE UNAENDA KUSALI NA UKUMBUKE IBADA HAKIKA YOTE ULIYOKUWA NAYO YATATOKA
 
[emoji85] [emoji85] Nithikiya thoni kukuvwira mtani. Kwani we tumanyije iti kuyaana ni kweri he mwiri?
Mtani, nekiti thimanyije nneoka nateta mongo, neicho nakikunda mtani, shinjia mpoa.
 
As a Philosopher and Pyschologist Nasema haya

Tafuta Msela Mpimane akukaze sawa sawa Usiku kucha.
Fanya mazoezi
Check Movie
Fanya maombi sana
Penda kujishusha no matter umekosewa
Take Time tembea jiliwaze kokote kule
Rizika ila saka pesa sana ukifanikiwa kuipata Utakua mpole kama Jongoo vile .

N.B Zingatia la kwanza na la mwisho pia SAUT kuna mwalimu wa saikolojia mtafte.
 
Ugwadu unachangia pia mbaya zaid uwe unazungushwa na mtatuzi hahaha kila mtu kwako atakua ni adui
 
Back
Top Bottom