Katika vitu ambavyo mchawi anapata wakati mgumu sana,ni pale ambapo marehemu yule aliyechukuliwa msukule anapowekwa nyuma ya mlango huwa anashuhudia kila kitu kinachoendelea mule ndani ie kipindi watu wamejazana na wengine wanalia,yule msukule huwa anamuuliza yule mchawi ni kwann watu wamejaa na wanalia,huwa ni wakati mgumu sana anaupata kujibu haya maswali toka kwa msukule...inaaminika ukikosea kujibu huwa yule jamaa nyuma ya mlango anaweza kutoka kabla ya kuzikwa(mgomba), na wakati mgumu ni pale mait#msukule unapotoa damu ama jasho,huwa ni inshu sana kama wana mkiamua kufuatilia...Inasemekana ukishaona dalili ya mtu kuchukuliwa msukule..labda anaumwa ghafla..kama unajua kabisa mtu flan ndo anataka kusababisha kifo,we mwache mgonjwa kwa haraka sana na mtafute huyo mbaya wake,ukiwah kumuona na mgojwa wako atawah kupona..kwani utawahi kuzikata zile sala au maneno anayoyasema wakati msukule unaendelea kuumwa..kuna masimulizi mengi kuhusu hz imani anyway.
Kule kwetu ni direct marehemu kalogwa hakuna vya blood circulation wala nini, by the way kwa nini itokee kwa baadhi ya marehemu na wengine isitokee ina maana hao ambao haitokei wanakuwa hawana hiyo blood circulation. NI UCHAWI NDUG MTOA MAADA MAREHEMU KALOGWA.UNAPOONA MAREHEMU ANATOKWA NA JASHO AMAN DAMU MASKIONI NA PUANI BASI NI UCHAWI
hivi jamani,kuna mtu aliekufa kwa kusingiziwa kachukuliwa msukule alishawahi kufufuka?na ni story tuKatika vitu ambavyo mchawi anapata wakati mgumu sana,ni pale ambapo marehemu yule aliyechukuliwa msukule anapowekwa nyuma ya mlango huwa anashuhudia kila kitu kinachoendelea mule ndani ie kipindi watu wamejazana na wengine wanalia,yule msukule huwa anamuuliza yule mchawi ni kwann watu wamejaa na wanalia,huwa ni wakati mgumu sana anaupata kujibu haya maswali toka kwa msukule...inaaminika ukikosea kujibu huwa yule jamaa nyuma ya mlango anaweza kutoka kabla ya kuzikwa(mgomba), na wakati mgumu ni pale mait#msukule unapotoa damu ama jasho,huwa ni inshu sana kama wana mkiamua kufuatilia...Inasemekana ukishaona dalili ya mtu kuchukuliwa msukule..labda anaumwa ghafla..kama unajua kabisa mtu flan ndo anataka kusababisha kifo,we mwache mgonjwa kwa haraka sana na mtafute huyo mbaya wake,ukiwah kumuona na mgojwa wako atawah kupona..kwani utawahi kuzikata zile sala au maneno anayoyasema wakati msukule unaendelea kuumwa..kuna masimulizi mengi kuhusu hz imani anyway.
yaani mkuu ulivyosimulia na hii avatar yako vimenifanya nikuogope ile mbaya dah! badili avatar mkuu.
yaani mkuu ulivyosimulia na hii avatar yako vimenifanya nikuogope ile mbaya dah! badili avatar mkuu.
duh!ama kweli we mzizi makavuKatika vitu ambavyo mchawi anapata wakati mgumu sana,ni pale ambapo marehemu yule aliyechukuliwa msukule anapowekwa nyuma ya mlango huwa anashuhudia kila kitu kinachoendelea mule ndani ie kipindi watu wamejazana na wengine wanalia,yule msukule huwa anamuuliza yule mchawi ni kwann watu wamejaa na wanalia,huwa ni wakati mgumu sana anaupata kujibu haya maswali toka kwa msukule...inaaminika ukikosea kujibu huwa yule jamaa nyuma ya mlango anaweza kutoka kabla ya kuzikwa(mgomba), na wakati mgumu ni pale mait#msukule unapotoa damu ama jasho,huwa ni inshu sana kama wana mkiamua kufuatilia...Inasemekana ukishaona dalili ya mtu kuchukuliwa msukule..labda anaumwa ghafla..kama unajua kabisa mtu flan ndo anataka kusababisha kifo,we mwache mgonjwa kwa haraka sana na mtafute huyo mbaya wake,ukiwah kumuona na mgojwa wako atawah kupona..kwani utawahi kuzikata zile sala au maneno anayoyasema wakati msukule unaendelea kuumwa..kuna masimulizi mengi kuhusu hz imani anyway.
Kumbe Muoga Weye!
Wakuu,namshukuru kila mtu kwa ushauri.Watu wamesema mengi msibani;kuwa chanzo cha kifo ni mambo ya kishirikina au uchawi;maana mgonjwa kabla kufariki alipandisha mashetani na kusema mengi wakati anafanyiwa maombi na walokole!