BAOBAO
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 1,874
- 555
Heri ya mwaka mpya!!! Wakuu hasa wenye ufahamu wa kuhusu tatizo la maiti kutokwa na damu puani na masikioni mpaka watu kuziba kwa pamba sehemu zote za mwili zinatoka damu.Naomba msaada au ushauri kwa sababu leo tena,tunamzika ndugu ambaye amepatwa na tatizo hili! Nakumbuka,tulipatwa na msiba wa ndugu yetu aliyeanguka ghafla njiani na kufariki huko Lindi vijijini;mpaka anazikwa Mbeya akiwa ana siku 4 bado alitokwa na damu inayonuka sana! Nipo msiba na umeme ni shida.