Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,762
- 1,823
Wakuu habari za muda huu natumai mko poa na weekend ilienda vizuri na kwa wale ambao weekend imeenda ndivyo sivyo tuendelee kupambana na kuzidi kumwomba Mungu katika changamoto tunazopitia
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, naombeni msaada ni nini suluhisho la simu kuwa very overheated wa matumizi, maana kuna ndugu anatumia Infinix smart 7 plus na analalamika simu inapata moto sanaaa sielewi shida iko wapi please and please naombeni msaada wadau.