Msaada: Nini suluhisho la simu kupata moto sana, yaani iko overheated sana

Msaada: Nini suluhisho la simu kupata moto sana, yaani iko overheated sana

Cheki kwanza kama ume install app recently nayo inafanya yake kwa simu.. angalia pia kwa settings app zinafanyaje kazi kuwa on kwa background.. hizo nazo balaa.. machache hayo ya kucheki kabla hujakimbilia kwa fundi..
nashukuru mkuu ntalifanyia kazi
 
Wakuu habari za muda huu natumai mko poa na weekend ilienda vizuri na kwa wale ambao weekend imeenda ndivyo sivyo tuendelee kupambana na kuzidi kumwomba Mungu katika changamoto tunazopitia

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, naombeni msaada ni nini suluhisho la simu kuwa very overheated wa matumizi, maana kuna ndugu anatumia Infinix smart 7 plus na analalamika simu inapata moto sanaaa sielewi shida iko wapi please and please naombeni msaada wadau.
Cpu yake imekuwa manufactured kwa 28nm so ni likely ku overheat, pia ni Mchina Unisoc.

Anaweza akapima hilo joto Exactly ni kiasi gani?

Aingie playstore kisha download app ya cpu-z kisha aende kwenye thermal kuangalia ni joto kiasi gani
 
Sawa mkuu then baadae cha kufanya ni kipi mkuu
 
Shida ni simu yenyewe, asikudanganye mtu habari za kumuona fundi, utakuja humu unalia kilugha.

katafute simu, tena zingatia simu za over 300k kama ni hao infinix wako. ila Samsung above 400k
 
Back
Top Bottom