Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,762
- 1,823
unamaanisha AC ina shidaApeleke kwa fundi..
Shida kwa ice
Ndio mkuuunamaanisha AC ina shida
nashukuru kwa ushauri kwa hy hapo itagharimu kama bei gani mkuuNdio mkuu
anaicool down tu inakua imepoa kabisa....Wakuu habari za muda huu natumai mko poa na weekend ilienda vizuri na kwa wale ambao weekend imeenda ndivyo sivyo tuendelee kupambana na kuzidi kumwomba Mungu katika changamoto tunazopitia
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ,naombeni msaada ni nini suluhisho la simu kuwa very overheated wa matumizi ,maana kuna ndugu anatumia Infinix smart 7 plus na analalamika simu inapata moto sanaaa sielewi shida iko wapi please and please naombeni msaada wadau
Hapo inategemea mkuu...nashukuru kwa ushauri kwa hy hapo itagharimu kama bei gani mkuu
hafanyi hiyo kazi mkuu but inakuwa ya moto pindi anapoitumiaanaicool down tu inakua imepoa kabisa....
akiwa anachoma mkaa aiweke kwenye begi kule kando, sio kwenye mfuko wa suruali hiyo ni sababu ya kua overheated
shukrani mkuuHapo inategemea mkuu...
Kwa bei moja kwa moja sijajua ila tusubiri kuna watu humu wanaweza kukupa mpaka location kabisa na ushuru kabisa
watu mnamakusudiWeka maji kwenye Freezer, yawe yabaridi sanaaaaa.
Kisha dumbukiza simu Kwa kuochovya Mara Saba huku ukitamka Maneno haya "Kuanzia Leo simu yangu usichemke ".
Utanishukuru
Na hiyo ni kiswahili ila kwa kiarabu aseme hivi """Nhar sheftek 9dami, banli zhri anaN taya mktabi,"""Weka maji kwenye Freezer, yawe yabaridi sanaaaaa.
Kisha dumbukiza simu Kwa kuochovya Mara Saba huku ukitamka Maneno haya "Kuanzia Leo simu yangu usichemke ".
Utanishukuru
hahah mkuu na wew unaunga mkonoNa hiyo ni kiswahili ila kwa kiarabu aseme hivi """Nhar sheftek 9dami, banli zhri anaN taya mktabi,"""
Na shida hii ya umeme wa dusko dusko, nakushauri itumie hiyo simu kupigia pasi nguoWakuu habari za muda huu natumai mko poa na weekend ilienda vizuri na kwa wale ambao weekend imeenda ndivyo sivyo tuendelee kupambana na kuzidi kumwomba Mungu katika changamoto tunazopitia
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ,naombeni msaada ni nini suluhisho la simu kuwa very overheated wa matumizi ,maana kuna ndugu anatumia Infinix smart 7 plus na analalamika simu inapata moto sanaaa sielewi shida iko wapi please and please naombeni msaada wadau
mmekula nn wakuu leo mbn mnatoa maoni hovyoNa shida hii ya umeme wa dusko dusko, nakushauri itumie hiyo simu kupigia pasi nguo
AC laki 3 sisterHicho kifaa laki tatu
Fundi Maiko hata kwenye Simu kumbe yupo πππWeka maji kwenye Freezer, yawe yabaridi sanaaaaa.
Kisha dumbukiza simu Kwa kuochovya Mara Saba huku ukitamka Maneno haya "Kuanzia Leo simu yangu usichemke ".
Utanishukuru
Umememmekula nn wakuu leo mbn mnatoa maoni hovyo