Msaada: Nini tofauti ya Ngono, Tendo la Ndoa na Unyumba?

Msaada: Nini tofauti ya Ngono, Tendo la Ndoa na Unyumba?

Mchanya

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
997
Reaction score
1,568
Wapendwa,
Kwa wenye ufahamu naomba msaada wa maana na matumizi sahihi ya maneno haya matatu NGONO, TENDO LA NDOA NA UNYUMBA. Nimeyasikia mara nyingi lakini sina hakika kama yanamaanisha kitu hicho hicho au tofauti.
 
Mkuu tofauti ni mazingira tu ! Kabla ya kufungishwa ndoa, ukimwingilia mwanamke hiyo ni NGONO, mkifunga ndoa basi tendo hilo linabadilika linaitwa tendo la ndoa, unyumba ni ile hali ya mwanaume na mwanamke kuishi pamoja kama mke na mme pasipo ndoa rasmi!
 
Tendo ni moja, utofauti wake unakuja pale ujumbe unafikishwaje kwa mlengwa.

Au ni kundi gani? Linazungumzia Jambo hilo.
 
Ni sawa useme"Rambirambi, Posa,nauli,Ada,Kiingilio,Uchakavu,Kiinua mgongo, Posho, Mshahara n.k" hii kwa jina moja unaitaje?!
 
Mkuu tofauti ni mazingira tu ! Kabla ya kufungishwa ndoa, ukimwingilia mwanamke hiyo ni NGONO, mkifunga ndoa basi tendo hilo linabadilika linaitwa tendo la ndoa, unyumba ni ile hali ya mwanaume na mwanamke kuishi pamoja kama mke na mme pasipo ndoa rasmi!
Mkuu,jibu lako naenda kulichukulia mkopo Bank
 
Back
Top Bottom