Wapendwa,
Kwa wenye ufahamu naomba msaada wa maana na matumizi sahihi ya maneno haya matatu NGONO, TENDO LA NDOA NA UNYUMBA. Nimeyasikia mara nyingi lakini sina hakika kama yanamaanisha kitu hicho hicho au tofauti.
Mkuu tofauti ni mazingira tu ! Kabla ya kufungishwa ndoa, ukimwingilia mwanamke hiyo ni NGONO, mkifunga ndoa basi tendo hilo linabadilika linaitwa tendo la ndoa, unyumba ni ile hali ya mwanaume na mwanamke kuishi pamoja kama mke na mme pasipo ndoa rasmi!