Msaada: Nipo Dar es salaam jamani

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
6,113
Reaction score
4,658
Dah kweli kuwa karibu na mahakama siyo kujua sheria ni zaidi ya miaka sita nipo Dar es salaam ila sijawai fika sehemu hizi
1:daraja la Mwl Nyerere aka kigamboni
2:sijawai panda basi la Mwendo kasi
3:Coco beach
4:Uwanja wa Fisi
je nawe sehemu gani unatamani kufika ndani ya Dar es salaam
 
uwanja wa fisi
 
Binafsi natamani kumuona popo bawa akiwa anamdhuru Mwana Dar Es Salaam
 
uwanja wa fisi unataka uende kufanya nini?
afadhali hupajui Mungu amekuepushia mengi
 
Sijawahi ingia uwanja wa taifa toka nije dar sasa ni miaka minne

Bango
 
Mazese
 
Daaaa binafsi huwa nna principle nkifika sehem yoyote lazima sehemu nyeti (regional identity ) nzitembeleee ,lkn pia kukaa dsm usjue baadh y sehem inategemeana na 7b nyning mfano nature ya kazi mfn housegirl ,,student,bnafsi nlkuja ka mwanafunz 2013 saiv XJABAKIZA KIPORO DSM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…