Akili zako ndogoMhhh.......
Kuelewa kazi kweli......ivi umeulizwa ufipa au maeneo ya dar?
nyie wapiga dili mnalo..kwetu sisi wapiga dili
ha ha ha leta ujeuri utafika ukiwa na meno mawiliBinafsi sijawahi kufika Mabwepande
chakula ninapika nyumbani kwangu kusave bajetiNinaomba kuwa mhudumu wenu mnapoamua kupata chakula.
Du unakaba kila kona?chakula ninapika nyumbani kwangu kusave bajeti
hii nabana mpaka penati ..Du unakaba kila kona?
Mhhh mkuu nisamehe .......nimekaa miaka mingi dar ndo leo nasikia eneo hilo kwamba lipo darAkili zako ndogo
Ufipa ipo wapi
Dar hakuna?
Mimi nna kilo unifikishe kimara wanapouza mbege na nyama ya mbuzibajeti yako sh ngapi nikuzungushe ukaone
mwanagati ulikuja?Daaaa binafsi huwa nna principle nkifika sehem yoyote lazima sehemu nyeti (regional identity ) nzitembeleee ,lkn pia kukaa dsm usjue baadh y sehem inategemeana na 7b nyning mfano nature ya kazi mfn housegirl ,,student,bnafsi nlkuja ka mwanafunz 2013 saiv XJABAKIZA KIPORO DSM
ongeza iwe tatuMimi nna kilo unifikishe kimara wanapouza mbege na nyama ya mbuzi
Hivi ilala hamna mtaa wa ufipa?Mhhh mkuu nisamehe .......nimekaa miaka mingi dar ndo leo nasikia eneo hilo kwamba lipo dar
tatu mbege na nyama tu mkuu.masaa mangapi kwanzaongeza iwe tatu
we utakunywa mpaka utakapo choka nakurudisha kwenutatu mbege na nyama tu mkuu.masaa mangapi kwanza
Hahahaa mchagga utamjua tubajeti yako sh ngapi nikuzungushe ukaone
fursaHahahaa mchagga utamjua tu
[emoji23] [emoji23] kama magu..Du unakaba kila kona?