Msaada: Nipo Dar es salaam jamani

Msaada: Nipo Dar es salaam jamani

Lumumba nimefika dah uwaga napatamani pale wanipe japo kazi ya kuwasifia jforum kama [HASHTAG]#lizabon[/HASHTAG]
 
Cjui Pugu,Kimbiji ,cjui Kitunda, Kisemvule au Ubungo Msewe na huko Vijibweni huko [emoji45] [emoji45] [emoji45]


~Cmb
 
Daaaa binafsi huwa nna principle nkifika sehem yoyote lazima sehemu nyeti (regional identity ) nzitembeleee ,lkn pia kukaa dsm usjue baadh y sehem inategemeana na 7b nyning mfano nature ya kazi mfn housegirl ,,student,bnafsi nlkuja ka mwanafunz 2013 saiv XJABAKIZA KIPORO DSM
mwanagati ulikuja?
 
Back
Top Bottom