Msaada Nissan xtrail inajizima sana

Joined
Jul 23, 2023
Posts
38
Reaction score
136
Wakuu poleni na majukumu,

Naomba msaada wenu Gari yangu imekuwa na Tatizo la kuzima ninapokuwa naendesha na huwasha taa za check engine, taa ya gear box, handbreak na kadhalika lakini ikijizima naisha hapo hapo na inawaka bila shida naendelea na safari mpaka itakapojizima tena.

Kwahiyo nilikuwa naomba kwa mwenye uelewa anisaidie maana nataka nilijue tatizo kabla sijaenda kwa fundi kuogopa kupigwa hela nyingi maana uchumi wenyewe kama mnavyoujua.

Habari wakuu napenda nitoe update ya Gari yangu juu ya shida ya kujizima shida ilikua sensa nimerekebisha hilo na gari iko sawa. Sensa ya milango ilikuwa inaliingilia gari linapokuwa speed na kulizima. Asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…