Apa umeniacha ata sielewi kama una mda nieleweshe please kwa mimi ninae badilika badilika tareheTena huyo ndio kakupoteza zaidi kila mwanamke ana mzunguko wake
Ovulation hutendeka ndani ya saa 48
Na shawaha zina uwezo wa kudumu ukeni hadi siku 5
Huwezi kujua siku za hatari za mwanamke bila kufahamu mzunguko wake ni wa siku ngapi View attachment 592796
Ni rahisi. Je Una mzunguko wa siku ngapi??Apa umeniacha ata sielewi kama una mda nieleweshe please kwa mimi ninae badilika badilika tarehe
Hii JF ingekuwa na audio ningekutumia nahisi ndio ungeelew tatizo mzungo ubadilika badilikaNi rahisi. Je Una mzunguko wa siku ngapi??
Kutoka hedhi moja mpaka nyingine huwa inachukua siku ngapi??
Siku au tarehe ndio ubadilika mzunguko uko.pale pale japokuwa inaweza kuwahi au kuchelewa.Hii JF ingekuwa na audio ningekutumia nahisi ndio ungeelew tatizo mzungo ubadilika badilika
wenzio anataka apate mtoto we unazungumzia kutoa njee. Alipaswa kusema tu siku zenye uwezekano wa kupata mimba kwa mkewe.Hivi kwanini mnateseka wakati kuna ile njia ya kuwatoa wazungu nje,yaani we ukisikia tu wanakuja una waelekezea nje, nice n easy..
Anapopata hedhi anza kuhesabu siku 5, ukianzia na siku ya hedhi katka siku hizi msifanye lolote kwani ni siku za damu. Siku zinazofuata 5 gegeda uwezavyo hizo ni siku salama. Yai hupevuka siku ya 14 baada ya hedhi. Baada ya siku 5 za kugegeda kuisha zinazofuatia siku 8 ni siku za hatari na ukigegeda tuu lazima ashike mimba. Mimba ya mtoto wa kiume hupatikana siku ya 14 tangu hedhi ilipoanza.Mbegu ya mwanaume huweza kukaa katka njia ya uzazi ya mwanamke hadi Masaa 72( siku 3) na ndio maana tuliweka siku 8 za kutokugegedana yaani kuanzia siku ya 11 hadi ya 18. Siku za nane za hatari zikiisha gegeda uwezavyo mpaka atakapopata tena hedhi.Endelea na mzunguko huu kila anapopata hedhi.Satute,
Niende moja kwa moja kwenye mantiki, mke wangu ziku zake za hedhi zimetokea kuvurugika tu, hivo napata mtihani mkubwa sana kujua siku zake za hatari.
Ziku zake za hedhi kwa miezi ya karibuni iko hivi, mwezi wa 5 aliingia tarehe 20, mwezi wa 6 aliingia tarehe 10, mwezi wa 7 aliingia tarehe 10, mwezi wa 8 aliingia tarehe 5 na mwezi wa 9 kaingia tarehe 18.
Kiukweli imeniacha njia panda kubwa sana za kuweza kutambua siku za kuweza kupata mimba kwa kipindi cha nyuma alikuwa akiingia kila tarehe 10 ya kila mwezi wakuu kwa mabadiliko hayo nitahesabu vipi siku zake za hatari?
Ushauri wenu tafadhali.
Nawasilisha
By
Young
Dimaa.
Shukrani mkuuAnapopata hedhi anza kuhesabu siku 5, ukianzia na siku ya hedhi katka siku hizi msifanye lolote kwani ni siku za damu. Siku zinazofuata 5 gegeda uwezavyo hizo ni siku salama. Yai hupevuka siku ya 14 baada ya hedhi. Baada ya siku 5 za kugegeda kuisha zinazofuatia siku 8 ni siku za hatari na ukigegeda tuu lazima ashike mimba. Mimba ya mtoto wa kiume hupatikana siku ya 14 tangu hedhi ilipoanza.Mbegu ya mwanaume huweza kukaa katka njia ya uzazi ya mwanamke hadi Masaa 72( siku 3) na ndio maana tuliweka siku 8 za kutokugegedana yaani kuanzia siku ya 11 hadi ya 18. Siku za nane za hatari zikiisha gegeda uwezavyo mpaka atakapopata tena hedhi.Endelea na mzunguko huu kila anapopata hedhi.
Akiwa ananyonyesha vzr anachelewa sana kupataJaman naombeni mnisidie hapa
Mwanamke anapojifungua huwa anaanza kupata hedh baada ya muda?
Bios ya form 2 ndio inaeleza hayo mambo?? Au ulihadithiwa?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hamkusoma biology form two???
Ndio au hapana yote yanaweza kuwa majibu sahihiBios ya form 2 ndio inaeleza hayo mambo?? Au ulihadithiwa?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni vigumu mwanamke kuangukia katika tarehe moja kwa kuwa mzunguko wa hedhi haufuati kalenda ya mwezi bali mzunguko wa mwanamke, na miezi hutofautiana urefu so sio rahisi kufuata tarehe hiyo hiyo japo yaweza tokea concidentally kwa mtu ambaye hana constant cycle kama mkeo.Hivi haiwezekani mwanamke kuangukia katika tarehe moja kila mwezi?, mfano anaingia kila tarehe 10 ya kila mwezi , afu ukisoma kwenye mitandao wanakwambia katika siku yake ile ya hatari unaadd siku tatu mbele na siku tatu nyuma, kuna ukweli?
Shukrani mkuu, umri wake ni 20yrsNi vigumu mwanamke kuangukia katika tarehe moja kwa kuwa mzunguko wa hedhi haufuati kalenda ya mwezi bali mzunguko wa mwanamke, na miezi hutofautiana urefu so sio rahisi kufuata tarehe hiyo hiyo japo yaweza tokea concidentally kwa mtu ambaye hana constant cycle kama mkeo.
Naona watu wengi wanazungumzia siku ya 14 toka mtu ameanza mzunguko ndio huwa siku ya hatari. Hii ni sawa kwa mwanamke mwenze mzunguko wa siku 28 zisizobadilika. Mzunguko wa hedhi una sehemu mbili kubwa, sehemu ya kwanza huanza kuanzia kuanza hedhi mpaka yai kupevuka (follicular phase), na sehemu pili ni baada ya yai kupevuka mpaka kupata tena hedhi(luteal phase). Sehemu ya kwanza hubadilika badilika kutegemeana na urefu wa mzunguko wa mwanamke husika na sehemu ya pili ndio huwa constant yaani huchukua siku 14, kwa hiyo siku za kupata ujauzito (fertility days, wengi huita danger days sijui kwa nini ni danger) ni siku 14 kabla ya kuanza hedhi na si siku 14 baada ya kuanza hedhi. Ukitaka kufanya hesabu za kujua lini mkeo au mwenza wako anaweza kushika ujauzito, tafuta urefu wa mzungo wake halafu toa 14, siku utakazopata ndio utahesabu kuanzia anapoanza hedhi na ndio itakuwa siku ambayo yuko fertile. Mizunguko ya hedhi ya kawaida inaanzia siku 21 mpaka 35, kwa hiyo kama mtu ana mzunguko wa siku 21 ukitoa 14 zinabaki siku 7, kwa hiyo huyu atakuwa fertile siku ya 7 toka ameanza hedhi na si siku ya 14 kama ilivyozoeleka. Mtu mwenye mzunguko wa siku 35 ukitoa 14 atakuwa fertile siku ya 21. Mtu mwenye mzunguko wa siku 28 ukitoa 14 inabaki 14, atakuwa fertile siku ya 14 toka ameanza hedhi. kwa hiyo ni wale wenye mzunguko wa siku 28 ndio huwa fertile siku ya 14 toka kuanza hedhi. Natumaini nimesomeka.
Kwa issue ya mkeo, japo sijui umri wake lakini mzunguko usio sawa (irregular cycle) una changamoto sana katika kukadiria siku ambayo yuko fertile. Kwa mizunguko yake ilivyo anaweza kuwa na tatizo hivyo unaweza kuwaona wataalamu (gynaecologists) wakakusaidia kufanya uchunguzi wa kwa nini cycle yake iko irregular, na wakakusaidia kuirekebisha na hivyo mkaweza kufanya makadirio sahihi ya siku yake ambayo yuko fertile. Japo mtu mwenye cycle isiyo regular pia anaweza kuwa na matatizo ya upevushaji mayai (ovulation).
Hata hivyo unaweza kutumia njia nyingine kujua mkeo kama amekaribia kuengua yai (ovulation) kama kutumia ovulation test strips, kuangalia mabadiliko ya ute ute ukeni na kuangalia mabadiliko ya joto la mwili. Pia ni muhimu kutrack siku zake kama unavyofanya, zitamsaidia daktari wako namna ya kukusaidia.