Msaada: Nitajuaje siku za hatari kwa mke wangu?

Nendi hospitali ndo maaan tuna mabingwa wa maginjwa ya wanawake
 
Matatizo gani mkuu....fafanua kama hutojali
 
Matatizo gani mkuu....fafanua kama hutojali

Matatizo mengi sana, moja ni kuvuruguka kwa period, baada ya gegedo ukitoa msumari, unatoka na damu, unbalanced hormone, hadi tukaenda Regency kuonana na Dr mmoja hivi, ni Dr bingwa magonjwa ya kina Mama, Before ya vipimo aliuliza mnatumia dawa zakuzuia mimba? Tukasema ndio, akauliza dawa gani, tukajibu P2, alisema sio nzuri, hizo hua zinaunguza mayai....
 
Mungu wangu![emoji86] [emoji86] [emoji86]

Kuunguza mayai? Mke wako alikuwa anatumia P2 mara nyingi sana?
 
Chukua tarehe ya mwisho aliyoona siku zake rudi nyuma siku 15, itakuwa siku ya hatari kwanini mwezi Huu.....
 
Muambie aingie playstore a-download Lady timer Calendar, then ataweka tarehe za nyuma alizoingia period yake.

Akifuatisha hiyo itakua msaada mkubwa sana kwake hata kama siku zake zinavurugika
Au my calendar,
Mm natumia hio na mke wangu haija wahi niangusha
Moja ya kazi zake ni
1. kukuambia period ijayo.
2.kukupa ovulation day
3.chances of getting pregnant (low, medium and high)
Na mengine meengi...hutojutia Cha msingi tumbukiza taarifa za awali kwa usahihi kwa asilimia Mia ili isikudanganye majibu.
 
Yaani haiongopi inasaidia hata kuchagua jinsia ya mtoto ili mradi tu information ziwe sahihi
 
Hebu niambieni, unaisetije?, manake nishaidowlod kila nikiingia inanionyesha tarehe tu ya siku husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…