miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
usisahahu kuweka picha sawaOk! Ngoja Nijiandae Niende Saloon
Ok! Tatizo Sio Kuota
Tatizo Ni Kwamba Endapo Nitazinyoa Nitaathilika Vp Mkuu?
Kamuulize Shangazi Yako Atakuelekeza Vizur2
Ok! Tatizo Sio Kuota
Tatizo Ni Kwamba Endapo Nitazinyoa Nitaathilika Vp Mkuu?
tatizo lako una haraka na umri. tulia haya mambo utayakuta ukubwaniOk! Tatizo Sio Kuota
Tatizo Ni Kwamba Endapo Nitazinyoa Nitaathilika Vp Mkuu?
Vijana wa kileo hao, wanashangaa kuota garden love! Dogo hiyo ni.kawaida, tena hapo warembo wakiziona ndio wanapagawa sana! Njoo uangalie baba zako hapa, unaweza kutoka nduki, tuna hadi rasta kifuani!
Wewe ni jinsia gani? Nitashangaa sana ukiwa mwanaume.
Hilo ndilo lilikuwa swali la kwanza ambalo hata mimi nilitaka kumuuliza!