Msaada: Nitapata madhara gani?

Msaada: Nitapata madhara gani?

Vijana wa kileo hao, wanashangaa kuota garden love! Dogo hiyo ni.kawaida, tena hapo warembo wakiziona ndio wanapagawa sana! Njoo uangalie baba zako hapa, unaweza kutoka nduki, tuna hadi rasta kifuani!

haaaahaaahaaa et had mna rasta!!
 
Weee! usithubutu kuzinyoa. Yani mwili wako utakuwa kama umeota miiba. Zitakuchoma choma mwili mzima mpaka utajuuta kuzinyoa!
 
Hilo ndilo lilikuwa swali la kwanza ambalo hata mimi nilitaka kumuuliza!

Acha tu.Niliona ajabu kwa mwanaume kuuliza swali kama hilo!
Hata hivyo huyo ni mvulana bado hajawa mwanaume asingeuliza hilo.
 
Back
Top Bottom