Msaada: Nitapata madhara gani?

Msaada: Nitapata madhara gani?

JOMAKIBU

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2015
Posts
538
Reaction score
70
Nimeota Nywele Kuanzia Sehem Za Sili Mpaka Kifuani Yaani Tumbo Ndio Usiseme Kabisaa! Ninatamani Sana Kuzinyoa Lakn Naogopa Kwan Nikizinyoa Naweza Pata Madhara Gani Kiafya? Umri Wangu Ni Miaka 20

Natanguliza Shukran Kwa Ushauli Wenu!
 
Vijana wa kileo hao, wanashangaa kuota garden love! Dogo hiyo ni.kawaida, tena hapo warembo wakiziona ndio wanapagawa sana! Njoo uangalie baba zako hapa, unaweza kutoka nduki, tuna hadi rasta kifuani!
 
Duh! Mpaka Rasta? Bac Poa!
 
Nimeota Nywele Kuanzia Sehem Za Sili Mpaka Kifuani Yaani Tumbo Ndio Usiseme Kabisaa! Ninatamani Sana Kuzinyoa Lakn Naogopa Kwan Nikizinyoa Naweza Pata Madhara Gani Kiafya? Umri Wangu Ni Miaka 20

Natanguliza Shukran Kwa Ushauli Wenu!

ulitaka ziote wapi hizo wewe? hapo ndo mahala pake...ukinyoa zitaota zingine
 
Vijana wa kileo hao, wanashangaa kuota garden love! Dogo hiyo ni.kawaida, tena hapo warembo wakiziona ndio wanapagawa sana! Njoo uangalie baba zako hapa, unaweza kutoka nduki, tuna hadi rasta kifuani!

Ni wa kike mkuu!
 
ulitaka ziote wapi hizo wewe? hapo ndo mahala pake...ukinyoa zitaota zingine

Ok! Tatizo Sio Kuota
Tatizo Ni Kwamba Endapo Nitazinyoa Nitaathilika Vp Mkuu?
 
Ninachotaka Kujua Ni Madhala2 Hayo Mengine Sijui Wakiume....Wakike Siyahitaji Wana Jamvi!
 
Back
Top Bottom