Unamaanisha nini mkuu?Hiyo ni taka taka zimejaa huko kariakoo
Mdau,Unamaanisha nini mkuu?
si lazma uchangie.... Ingetosha kusema aina izo za viatu znapatikana kwa wingi maeneo ayo.
BTW yawezekana muanzisha thread ana jinsi yke ya kuzpata ivo bei inaweza kuwa ya ushndani zaid sokoni.
Kuwa muungwana katka shughuli za watu mkuu.
ndugu samahn bei zake zinaendaje?Mdau,
Kuna watu wanapenda kuandika vitu wajihesabu wao ni wana forum na wana smart phone wanaweza kuchangia Mada.
Hili swali lako ni la kuuliza wana jamii kweli?
Hiyo Mali yako so hadimu au ni special saaana kwamba ni ya kutafuta au Ina mpango maalum!
Unataka mtu achangie nini zaidi ya nilivyochangia kwa kukupa moyo kuwa hizo ni taka taka zimejaa kariakoo?
Ushindani, ushindwani wote utaupata hapo
Wapi wachina wenyewe haya za Chobisi watakupa..
Mtafute huyu ana duka sinza 0762299111Nipo DSM namtafuta muuzaji wa bidhaa hizi za viatu aina hiiView attachment 429705View attachment 429706View attachment 429707View attachment 429708View attachment 429709View attachment 429710
Kama unafanya biashara ya viatu vya namna hiii basi tuwasiliane
0625 568600 au 0755 103405
Mkuu vp umepata hivyo viatu?Nipo DSM namtafuta muuzaji wa bidhaa hizi za viatu aina hiiView attachment 429705View attachment 429706View attachment 429707View attachment 429708View attachment 429709View attachment 429710
Kama unafanya biashara ya viatu vya namna hiii basi tuwasiliane
0625 568600 au 0755 103405