Msaada: Nitapata wapi muuzaji wa bidhaa hizi?

Msaada: Nitapata wapi muuzaji wa bidhaa hizi?

popo1986

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
1,120
Reaction score
372
Nipo DSM namtafuta muuzaji wa bidhaa hizi za viatu aina hii
1478362559141.jpg
1478362575864.jpg
1478362592308.jpg
1478362604750.jpg
1478362615039.jpg
1478362634278.jpg

Kama unafanya biashara ya viatu vya namna hiii basi tuwasiliane

0625 568600 au 0755 103405
 
Unamaanisha nini mkuu?
si lazma uchangie.... Ingetosha kusema aina izo za viatu znapatikana kwa wingi maeneo ayo.
BTW yawezekana muanzisha thread ana jinsi yke ya kuzpata ivo bei inaweza kuwa ya ushndani zaid sokoni.
Kuwa muungwana katka shughuli za watu mkuu.
Mdau,
Kuna watu wanapenda kuandika vitu wajihesabu wao ni wana forum na wana smart phone wanaweza kuchangia Mada.
Hili swali lako ni la kuuliza wana jamii kweli?
Hiyo Mali yako so hadimu au ni special saaana kwamba ni ya kutafuta au Ina mpango maalum!
Unataka mtu achangie nini zaidi ya nilivyochangia kwa kukupa moyo kuwa hizo ni taka taka zimejaa kariakoo?
Ushindani, ushindwani wote utaupata hapo
Wapi wachina wenyewe haya za Chobisi watakupa..
 
JF Ukiwa na Hasira hapafai,Usawa Huu watu wanatafuta fursa halafu mtu anaandika uharo kwenye thread ya watu.
 
Mdau,
Kuna watu wanapenda kuandika vitu wajihesabu wao ni wana forum na wana smart phone wanaweza kuchangia Mada.
Hili swali lako ni la kuuliza wana jamii kweli?
Hiyo Mali yako so hadimu au ni special saaana kwamba ni ya kutafuta au Ina mpango maalum!
Unataka mtu achangie nini zaidi ya nilivyochangia kwa kukupa moyo kuwa hizo ni taka taka zimejaa kariakoo?
Ushindani, ushindwani wote utaupata hapo
Wapi wachina wenyewe haya za Chobisi watakupa..
ndugu samahn bei zake zinaendaje?
 
Back
Top Bottom