claudematemu
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 279
- 437
- Thread starter
-
- #21
Daah umeongea sana ila upo sahihi.Wewe sio developer Nikuhakikishie bado ujaiva kabisaa..Sema unashida ya Pesa Ukaunga unga kusoma programming ukatengeneza App mbili tatu ambazo ni clone(Copy).Na sasa Ukajiona umekuwa Developer..
Things aint easy just like that Mzee.Naongea kama mtu mwenye experience.Wewe endelea kujisomea hakuna Developer dunia hii ambae hajui/Hana idea ya kudevelop kitu..Dogo unasafari ndefu sana
Kwani wakiwa nayo inakuzuia nini wewe?Azam wanayo
Hapana, usitishe watuWewe sio developer Nikuhakikishie bado ujaiva kabisaa..Sema unashida ya Pesa Ukaunga unga kusoma programming ukatengeneza App mbili tatu ambazo ni clone(Copy).Na sasa Ukajiona umekuwa Developer..
Things aint easy just like that Mzee.Naongea kama mtu mwenye experience.Wewe endelea kujisomea hakuna Developer dunia hii ambae hajui/Hana idea ya kudevelop kitu..Dogo unasafari ndefu sana
A good idea.....issue iko kwa regulators....Bila leseni ya BOT hutoboi....Fanya app ya miamala. Itayofanya miamala yote. Ni unaweka hela tu unatuma popote. Utapiga hela kote
Wewe ni Mjinga!Hapana, usitishe watu
Mark Zuckerberg hakuwa programmer
Kuja na kitu applicable sio lazima uwe mjuaji sana, ni ndoto halisia tu, na huwa zinakuwa kweli
Acha watu waote, ungekuja na idea at least, sio kupigilia misumari, huu ndio uchawi wenyewe....
Kweli wewe ni KengeWewe ni Mjinga!
Mark hakuwa programmer unauhakika? Umeelewa point yangu?Unafikiri developer anaweza kukosa idea ya kitu cha kudevelop?Mtoa mada mwenyewe kakubali...JF mmiliki hakuwa programmer Na mpaka sasa inawatumiaji 600k tu toka ianzishwe miaka zaidi ya 15+ sasa...Unafikiri founder angekua programmer akaongeza feature kwenye App yake ingekua wapi leo?
Ficha ujinga sawa
Jamaa anakwambia azam anafanya. Sasa azam ni Mungu kwani?A good idea.....issue iko kwa regulators....Bila leseni ya BOT hutoboi....
Kwa TZ ni mungu kweli. Hauwezi kuingia kwenye sekta ambayo iko regulated kama kuhamisha pesa peke yako kama developer, tena unatafuta pesa ya haraka, inabidi uwe na watu na resources nyingi upande wa compliance na legal na kwa bongo konnection serikalini I'm sure.Jamaa anakwambia azam anafanya. Sasa azam ni Mungu kwani?
Angalia huyu bingwa , alifika mbali sana , lakini ndio hivyo yule shetani alimuharibia kila kitu na siasa zake za wivu na husuda kwa waliojiwezesha...Wakuu kwema?
Mimi ni full stack developer nataka nitengeneze mobile app ili niweze kupata hela baada ya mda mfupi
Naombeni mawazo yenu
Ili kuipata hiyo leseni ni nini kinatakiwa?A good idea.....issue iko kwa regulators....Bila leseni ya BOT hutoboi....