Msaada nitengeneze app ya aina li niweze kupata hela?

Msaada nitengeneze app ya aina li niweze kupata hela?

Wewe sio developer Nikuhakikishie bado ujaiva kabisaa..Sema unashida ya Pesa Ukaunga unga kusoma programming ukatengeneza App mbili tatu ambazo ni clone(Copy).Na sasa Ukajiona umekuwa Developer..

Things aint easy just like that Mzee.Naongea kama mtu mwenye experience.Wewe endelea kujisomea hakuna Developer dunia hii ambae hajui/Hana idea ya kudevelop kitu..Dogo unasafari ndefu sana
Daah umeongea sana ila upo sahihi.
 
Hapana, usitishe watu
Mark Zuckerberg hakuwa programmer
Kuja na kitu applicable sio lazima uwe mjuaji sana, ni ndoto halisia tu, na huwa zinakuwa kweli
Acha watu waote, ungekuja na idea at least, sio kupigilia misumari, huu ndio uchawi wenyewe....
 
Wewe ni Mjinga!
Mark hakuwa programmer unauhakika? Umeelewa point yangu?Unafikiri developer anaweza kukosa idea ya kitu cha kudevelop?Mtoa mada mwenyewe kakubali...JF mmiliki hakuwa programmer Na mpaka sasa inawatumiaji 600k tu toka ianzishwe miaka zaidi ya 15+ sasa...Unafikiri founder angekua programmer akaongeza feature kwenye App yake ingekua wapi leo?

Ficha ujinga sawa?
 
Kutengeneza pesa ndani ya muda mfupi kwenye app sio rahisi. Ila inawezekana ukiunda app za kitapeli kama kalynda zinzohusiana na Ponzi scheme. Usisahau bajeti ya marketing kupata watumiaji.
 
Usiwaze pesa kwanza, pesa ni abstract concept, ni kitu ambacho hakipo kwenye uhalisia, ni dhana tuliyoibuni tu na kuiamini

Waza jinsi ya kutengeneza au kuongeza thamani kwa watu, kwenye sekta yoyote ile

Kisha unda app itakayofanya hivyo
Then wanufaika watakupa pesa
 
Wewe ni Mjinga!
Mark hakuwa programmer unauhakika? Umeelewa point yangu?Unafikiri developer anaweza kukosa idea ya kitu cha kudevelop?Mtoa mada mwenyewe kakubali...JF mmiliki hakuwa programmer Na mpaka sasa inawatumiaji 600k tu toka ianzishwe miaka zaidi ya 15+ sasa...Unafikiri founder angekua programmer akaongeza feature kwenye App yake ingekua wapi leo?

Ficha ujinga sawa
Kweli wewe ni Kenge
Nyinyi ndio IT wa kibongo, mnajifanya mnajua kila kitu, lakini results ni zero...
Mtu ameomba ushauri, kenge unakuja kukanda,
Na ndio Mark hakuwa programmer, alikuwa anaungaunga tu, ni idea na ambition aliyokuwa nayo, ndio imemvusha.
Kenge namba 1....
 
Jamaa anakwambia azam anafanya. Sasa azam ni Mungu kwani?
Kwa TZ ni mungu kweli. Hauwezi kuingia kwenye sekta ambayo iko regulated kama kuhamisha pesa peke yako kama developer, tena unatafuta pesa ya haraka, inabidi uwe na watu na resources nyingi upande wa compliance na legal na kwa bongo konnection serikalini I'm sure.
 
Wakuu kwema?

Mimi ni full stack developer nataka nitengeneze mobile app ili niweze kupata hela baada ya mda mfupi

Naombeni mawazo yenu
Angalia huyu bingwa , alifika mbali sana , lakini ndio hivyo yule shetani alimuharibia kila kitu na siasa zake za wivu na husuda kwa waliojiwezesha...

Back
Top Bottom