Msaada: Nitumie mbolea gani?

Kwangu ni mchanga mtupu nikabahatika kuwa na mifugo nikawa natupa shambani nikilima nafukia chini mchanga umekuwa mweusi amini usamini mazao yanayoota ni kijani kilichokolea kikubwa kuwe na availability ya maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…