Msaada nitumie nini ili kukata "hangover"?

Nilitaka kumjibu jamaa hivyo, ila nikasema nipitie posts kwanza unaweza kuta kuna mtu kashamjibu.

Mkojo wa asubuhi ni dawa ya mambo mengi mkuu.
Mi mwenyewe nimeandika tu nilishawahi sikia watu wakisema hivyo nikaona nami nilibwage hapa...
 
Mi mwenyewe nimeandika tu nilishawahi sikia watu wakisema hivyo nikaona nami nilibwage hapa...

Kuna jamaa yangu anatumia hii kitu, ila siyo kwa hangover, maana kama mkojo una pombe sina uhakika kama utatibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…