Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Duh! Mkuu we inaonekana mzoefu..😅
Nilitaka kumjibu jamaa hivyo, ila nikasema nipitie posts kwanza unaweza kuta kuna mtu kashamjibu.
Mkojo wa asubuhi ni dawa ya mambo mengi mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Mkuu we inaonekana mzoefu..😅
Mi mwenyewe nimeandika tu nilishawahi sikia watu wakisema hivyo nikaona nami nilibwage hapa...Nilitaka kumjibu jamaa hivyo, ila nikasema nipitie posts kwanza unaweza kuta kuna mtu kashamjibu.
Mkojo wa asubuhi ni dawa ya mambo mengi mkuu.
Mi mwenyewe nimeandika tu nilishawahi sikia watu wakisema hivyo nikaona nami nilibwage hapa...
Maziwa ya mama sio maziwa na mama. Unataka kukata moto kabisa ukitumia mama wakati wa hangoverMaziwa ya mama au maziwa na mama.