Msaada nitumie nini ili kukata "hangover"?

Msaada nitumie nini ili kukata "hangover"?

Nyavinene

Senior Member
Joined
Jul 28, 2020
Posts
164
Reaction score
174
Wadau habari zenu,

Naomba msaada wa haraka sana. Jana nimepiga mitungi mingi mpaka saivi nahisi kuna hangover kichwani naombeni mnisaidie kitu cha kutumia ili niende kazini.
 
Piga bia moja au mbili au Piga shot moja Ya kvant au konyagi.
Ukimaliza hapo Nenda katafute supu Sasa.
 
Fanya mazoezi mpaka utoke jasho kama kukimbia au kutembea haraka haraka,hakikisha unatoka jasho...
 
Oga maji barid, piga supu malizia na soda bariid ya crest au 7up
 
Back
Top Bottom