π π π πNywele za wapi
Kula chakula bora, upate vitamins na madini ya kutosha..Habari za mida hii wadau, natumaini tunaendelea vyema na mihangaiko ya kila siku. Naomba kujua njia gani nzuri/ mafuta ya kufanya nywele ziwe na uweusi mzuri bila kutumia material kama "super black". Hata kama zipo njia za asili, naomba msaada wadau, nywele zimekuwa za brown sana. Niliambiwa ni sabuni, nimebadili lakini bado....asanteni.
Kichwani bana...Sasa kwani za uzunguni zinapakawa maoil[emoji1787]Nywele za wapi
Mkuu nywele huwa ni moja tu za kichwani,tofauti na hapo huwa zina majina yakeNywele za wapi
Mkuu nywele huwa ni moja tu za kichwani,tofauti na hapo huwa zina majina yake
1.KIDEVUNI - Huitwa Ndevu
2.MASHAVUNI HADI MASIKIONI - Huitwa Sharafa
3.PUANI - Huitwa Julfa
4.JUU YA MDOMO - Sharubu
5.CHINI YA MDOMO - Huitwa kionja mchuzi
6.MAKWAPANI - Huitwa Mavuzi/Nywele za kwapa
7.KIFUANI - Huitwa Malaika
8.SEHEMU ZA SIRI - Huitwa Mavuzi
9.MKUNDUNI - Huitwa Mavuzi/Mshiranga
Kichwa kipi mkuu??Nywele za kichwani kiongozi
Mkuu tuko vizuri na pande hiiπππππ[emoji23][emoji23], nikajua wewe ni mzee wa simulizi tu mkuu