Msaada: Njia gani naweza kutumia nikamsahau mwanamke niliempenda?

Mbona braza mm nmebadilika nikiwa dsm lazima niwe na bebez tofauti Ila nikirud mkoani kwetu huwa Sina time na wanawake natulia kabsa
 
Huwa wanaroga uwakumbuke ili mrudiane.
Wanachoma madawa na kutaja jina lako wakiwa ucho wa nyama.
Ni mtihani Yani hapo labda ukaaguliwe na uende kwa kina mwamposa ukagunguliwe vingine nakupa pole kama ndugu.
Yaani umaskini na utegemezi ni mbaya sana.
Mtu hataki ku-move on wala wewe u-move on.
Unless uwe ndio ulikuwa umemkosea pakubwa.
Lakini ni mambo ya kawaida yeye aka overreact basi kama alikuwa anakutegemea kwa kila kitu Basi jua kuwa anataka umrejee.
Huruma kwa kweli.
Kama Ina mama mzazi anaekupenda kwa dhati ya moyo mshirikishe.
Kuna wanawake mioyo yao sio aisee.
 
Mapenzi hayalazimishwi, ukikaa kizembe lazima uchakae.
 
Hizo mbona kama ni text ambazo wewe ndo unachat na mtu na sio whatsapp ni normal texts
 
Naona umeamua kutupotezea muda sio...

sikuwahi kumpenda huyu mwanamke ila yeye ndo alihitaji kuwa na mimi kwenye mahusiano nilimuonea huruma baada ya kupambana kwa miezi kadhaa kisha mimi nikakubali kuwa nae huku akiniahidi kuwa atatulia kabisa endapo akiwa na mimi,
 
Hii ni chai ya baridi β˜• β˜• β˜• β˜•.....
Kama sio chai basi wewe ni zwazwa
 
Nakushauri Tu kabla ya kuanza kumsahau yeye basi unatakiwa UJISAHAU wewe mwenyewe Kwanza.
 
Kitandani unamridhisha. Hela ya bando humpi unategemea nini?
Umekiri mwenyewe kwamba alikuwa malaya, kufikiria kwamba ataacha ni jambo la kushangaza.
 
Hakuna mke hapo. Atakuua kwa stress.
 
Kitandani unamridhisha. Hela ya bando humpi unategemea nini?
Umekiri mwenyewe kwamba alikuwa malaya, kufikiria kwamba ataacha ni jambo la kushangaza.
Hakuna mtu ambae habadiliki, hivyo niliamini atabadilika baada ya kukili kuwa atatulia
 
Jifanyie factory reset! Kama sio chai lakini
 
Hakuna mtu ambae habadiliki, hivyo niliamini atabadilika baada ya kukili kuwa atatulia
Huyo mtu wako hajabadilika unasemaje kwamba hakuna mtu asiyebadilika? Haya kazana hapo hapo kumbadilisha kwanini unataka kumuacha umsahau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…