Msaada njia mbadala ya kununua LUKU kwa sasa

Msaada njia mbadala ya kununua LUKU kwa sasa

LWITIKO LWITIKO

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
209
Reaction score
118
Jamani naomba mwanye kujua njia mbadala ya kuweza kununua Luku kwa sasa, achilia mbali M-pesa,Tigo pesa etc.
 
Jamani naomba mwanye kujua njia mbadala ya kuweza kununua Luku kwa sasa, achilia mbali M-pesa,Tigo pesa etc.

Unaweza kununua LUKU kwa njia ya NMB Mobile, SIMBanking CRDB, EZZY Mobile 247, TPB Popote, ACB Mobile, MAX Malipo na Airtel Money.
 
Back
Top Bottom