Habari wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza nataka kutumiwa mzigo kutoka sweeden! Tulitaka kutumia DHL ila inasemekana hawa jamaa branch ya bongo siyo waaminifu so, tumekua scared kufanya nao hyo transfer..lakin tulivyokosa kampuni nyingne ikabidi jamaa ajaribu tu kuwapigia ili aongee nao lakin toka jana hawapokei.
So, naomba kama kuna anaejua kampuni nyingine aminifu na ya uhakika anisaidie tafadhali.
Natanguliza shukrani[emoji120]