Msaada: njia ya kuforwad automatic email kutoka gmail kuja sms za kawaida

Until_The_End

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2020
Posts
1,456
Reaction score
2,202
Habari wakuu:

Kichwa cha thread kinajieleza naomba mnisaidie njia ya kufoward email zangu zikiingia tu kasha la kupokelea zije moja kwa moja kwenye inbox ya kawaida kama SMS.

Nimegoogle nikakutana na msamiati "SMS gateway domain" hapo nikashindwa.

Mnisaidie kupata hiyo njia na maelezo ya huo msamiati.

Asanteni.
 
watoa huduma ya email-to-SMS huwa wanakupa config setup, unazipachika upande wa Email Settings > Forwarding

email zako zikiingia zinaenda moja kwa moja kwenye database servers za hao jamaa, kisha wao wana hardware ya kuitwa SMS Gateway ambayo inasoma izo jumbe kwenye database, kisha kutuma kwenye namba ya simu uliyoweka wakati unajisajili

so wanakuwa na wanakuchaji per SMS
 
Mkuu hao watoa huduma ni kina nani kwa mfano?
Ama ni hawahawa Airtel n.k
 
Ni pm. Una shing gapi?
 
Gharama utakazopewa bila shaka utaghairi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…