Msaada Njia ya Kuondoa Acid Tumboni

Msaada Njia ya Kuondoa Acid Tumboni

mikumiyetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
1,312
Reaction score
944
Baada ya kulalamika kwa muda mrefu kuhusu vidonda vya tumbo nilihamua kwenda hospital yenye vipimo vinavyoweza kuonyesha tumboni vidonda vya tumbo vimenihathiri kwa ukubwa gani [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Mrejesho wadau
Nilifanikiwa kwenda hospital moja ipo Njombe Makete inaitwa ikonda,nikapima vipimo kama inavyoonekana kwenye atachment hapo chini,ila sasa baada ya kupimwa kile kipimo cha camera ya kuingizwa tumboni kikaonyesha kwenye utumbo hakuna vidonda wala michubuko,lakini nikamuhuliza doctor sasa mbona tumbo uwa linaniwaka moto sana mbaka nakosa raha akanijibu kwamba inaonekana mwili wangu unazalisha sana Acid ndo inafanya tumbo liwake moto,nikapewa mavidonge lakini nimeyatumia sijaona utofauti nimerudi kwenu kuomba ushauri nitumie njia ipi kuzuia mwili wangu usizalishe Acid kwa wingi??
20190510_105204.jpeg
 
kila baada ya msosi jitahidi kulamba jivu..halafu usipende shinda njaa na punguza makande maana huko ndo maeneo yake
Asante jivu kiasi gani nalamba,ila makande situmiagi
 
Jivu sio zuri kihivyoo. Atafune caroot au Atafune mchele. Mkavu. Inasaidia sana. Hata Chakula akipikia na caroot ya kutosha Hawezi pata hiyo shida
Nani wewe kakwambia kuwa karoti na mchele mkavu unaondosha asidi tumboni? Karoti na mchele mkavu unazidisha asidi tumboni.Unatoa ushauri mbovu kwanini mkuu?
 
Jivu sio zuri kihivyoo. Atafune caroot au Atafune mchele. Mkavu. Inasaidia sana. Hata Chakula akipikia na caroot ya kutosha Hawezi pata hiyo shida
Lakini njia nzuri ya Ku neutralize acid ni kutumia base pengine jivu ni aina moja wapo ya base ila sijui kama vipo vidonge vya base au vyakula ulivyotaja kama vina asili ya base (vitakuwa sahihi kwake)....
 
Weka ratiba ya kula tango moja kila siku asubuhi baada ya week moja utakuwa mzima kabisa.
Kama ukiweza kula hata usiku wakati wa kulala mkuu. Mimi vilikuwa ni vidonda vya tumbo nakajiwekea ratiba hiyo nikapona.
Cha muhimu epuka kula maharage, hizi pombe za kienyeji na usikubali kukaa na njaa,,, na endapo ukinywa pombe kali jitahidi uwe umeshiba vizuri
 
Back
Top Bottom