Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,689
- 6,484
Salaam alaikum Wana Jambi...
Mimi kijana mwenzenu middle of 30's watoto wawili ila mtihani mpaka sasa Kuna wanawake wengine wanne nshawapa ujauzito ndani ya miaka hii miwili, nahisi kuvurugwa japo wenyewe hawaoneshi kujali......
Najua njia mbili kwa mwanaume kunizuia kutia mimba ikiwa ni
1. Condom
2. Kumwaga nje.
Njia namba Moja nimefeli kutumia maana nikishamvuchu...p... Mwanamke hua nasahau kama Nina condom pembeni. (Zinakua tushapima lazima)
Njia namba mbili Huwa nadanganywa na hao wanawake kwamba wako safe days kumbe ni kwasababu yakunogewa wanapenda nimalizie umo umo.
Baada ya hapo nikishawakazia wanadai hawahitaji msaada wangu Kwa malezi ya mtoto watalea wenyewe lakini kwa jinsi nilivyo siwezi kwepa ilo jukumu.
Sasa kwakua Bado sijapata mwenza wa maisha nipeni msaada hata kama Kuna videngo vya kuzuia mbegu au kukatwa mrija sijui nipate iyo tiba niwe na amani Hali ni mbaya sijui mpaka kufika 40s nitakua na watoto wangap wenye mama tofauti tofauti maana mpaka sasa washafika wamama watano.
Naombeni msaada wataalamu,watu wazima na kila anaefahamu.
Kikubwa msiniletee kejeli nipo seriously.