Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 619
Wewe ni ME au KE?
Kama ni KE, mbegu za kiume nazo zinasaidia.
Hebu nipe dose yake aisee!!!!
Tukionana nitakupa.
Hebu nipe dose yake aisee!!!!
Yaallaahhh.....
Kwa kweli,na naomba akiileta uniite nami.
Utachanganya ngapi????!!!!!
Nataka kujua inatumiwa mara ngapi kwa siku,wiki au mwezi.
Nataka kuwa bonge na mie,"Meat for men,bones for.........." hapo nimesahau ngoja Heaven on Earth aje anisaidie.
Wewe ni ME au KE?
Kama ni KE, mbegu za kiume nazo zinasaidia.
Zingatia msosi huu:
Asubuhi.
Chapati 3,supu ya utumbo,soda baridi moja ukishamaliza shushia na lita 1 ya maji bariiiiidiiiiii.
Mchana.
Chips Kuku,mayai mawili pembeni,soda baridiii,ukimaliza shushia maji baridi lita 1
Usiku.
Nyama nusu,ndizi 4 mshale,biereee 4 then ulale,fanya hvyo kwa mwezi utanenepa ukifikia unene unaoutaka unaacha.
Kiti moto na bia
Habari zenu wana jf
naomba msaada wa njia zipi mfano kama ni chakula au mazoezi yatakayosababisha mwili wangu kuongezeka
nitashukuru sana.
mwili una faidagani kwako wakati una afya? Au mwenzi wako anapenda wenye mwili mkubwa?Habari zenu wana jf
naomba msaada wa njia zipi mfano kama ni chakula au mazoezi yatakayosababisha mwili wangu kuongezeka
nitashukuru sana.