Lazima na yenyewe ipate mashabiki bana. Wale wanaotaka kutupangia timu za kushangilia watuache wao wakishangilia Mikia wanatosha. πππMm binafsi kesho ntakuwa Nkana
Hahahaaaa. Uniite tu saa ya mechi.Nimeandika jina lako pembeni ili nisikusahau
Wanaitwa Nkana Red Devils wale(Mashetani Wekundu wa Nkana), kwa hiyo na weye utavaa na kushangilia rangi nyekundu kesho eeh?π³π³π³Lazima na yenyewe ipate mashabiki bana. Wale wanaotaka kutupangia timu za kushangilia watuache wao wakishangilia Mikia wanatosha. πππ
Hapana sivai nguo nyekundu mie. πWanaitwa Nkana Red Devils wale(Mashetani Wekundu wa Nkana), kwa hiyo na weye utavaa na kushangilia rangi nyekundu kesho eeh?π³π³π³
PoAhHahahaaaa. Uniite tu saa ya mechi.
View attachment 974303
Hawa Nkana red devils kesho watavaa jezi gani wakuu?
Kwa ule mpira walionesha wiki iliyopita kwa mtu yeyote mpenda mpira mzuri, mpira wa burudani basi ile ni timu ya kwenda kuipa support?
Narudia tena hawa jamaa waje na timu tu mashabiki watatukuta Dar.
Hii sidhani, mbumbumbu / Simbarutty watasema itawachanganyaJezi nyeupe
Daah umeniangusha kwa kweli!!!!Unaeza kwenda hata bila kuvaa Jezi zao kama mi nitakavyofanya ilimradi tu tukawashangilie Nkana. [emoji41][emoji41][emoji126][emoji126][emoji126]
Kwa nini tena Darmian? ππDaah umeniangusha kwa kweli!!!!
Jumatatu asubuhi wataanza kuwaza viporo. Vingi vitachacha huku Nkana akienda kwenye makundi.Yaani niteseke kizembe hivii??... hao mbumbumbu si wanapigwa tena hapo kwa mchina tena yaani "nje ndani "??....mbumbumbu out!!!!
HahahahahaJumatatu asubuhi wataanza kuwaza viporo. Vingi vitachacha huku Nkana akienda kwenye makundi.
Hilo halina mjadala.Hahahahaha
Sasa ushabiki gani huo wee Shadeeya ? Ukipenda boga penda na ua lakeHapana sivai nguo nyekundu mie. π
Yule mliyemwacha kwa kumkomoa dakika za mwisho (siku ya kufunga dirisha la usajili) leo amekuwa kijana wenu tena?[/QUOTE]Hata ukipiga jezi ya taifa stars siku hiyo utakua umefanya jambo la maana sana,utakua unamsapoti kijana wetu hassan kessy
[/QUOTE]Yule mliyemwacha kwa kumkomoa dakika za mwisho (siku ya kufunga dirisha la usajili) leo amekuwa kijana wenu tena?