Msaada, Nkana FC huwa wanavaa jezi gani ugenini?

Msaada, Nkana FC huwa wanavaa jezi gani ugenini?

Lazima na yenyewe ipate mashabiki bana. Wale wanaotaka kutupangia timu za kushangilia watuache wao wakishangilia Mikia wanatosha. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wanaitwa Nkana Red Devils wale(Mashetani Wekundu wa Nkana), kwa hiyo na weye utavaa na kushangilia rangi nyekundu kesho eeh?๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ
 
View attachment 974303
Hawa Nkana red devils kesho watavaa jezi gani wakuu?
Kwa ule mpira walionesha wiki iliyopita kwa mtu yeyote mpenda mpira mzuri, mpira wa burudani basi ile ni timu ya kwenda kuipa support?
Narudia tena hawa jamaa waje na timu tu mashabiki watatukuta Dar.

Ha ha ha ha ha ha nadhani watavaa hiyo ya Mbeya City au hyo ya mwisho kulia
 

Attachments

  • fb_img_1520128710613.jpg
    fb_img_1520128710613.jpg
    38.2 KB · Views: 23
Ila huyu jamaa kwa kiwango alichoonyesha kule Zambia kama hakuamka vizuri tu siku ile basi ataweza kuwa homa ya jiji hapo kesho. Kwa mabeki wenyewe kina Wawa na Murshid!!!!
img_20170613_wa0071.jpg
 
Hapana sivai nguo nyekundu mie. ๐Ÿ˜Ž
Sasa ushabiki gani huo wee Shadeeya ? Ukipenda boga penda na ua lake

Nyie mnaji nasibisha kwa hao Nkana halafu leo hii tunawaambia mvae rangi nyekundu mnaruka futi mia

Ina maana urafiki wenu ni wamashaka eeh? Tafuteni basi hata bendera nyekundu na nyeupe kama hamuwezi kuvaa jezi zenye rangi yao๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Alikomolewa Simba ndiyo akaja Yanga hadi Nkana wamemwona mali.[/QUOTE]
Kwani alisajiliwa na Nkana akitokea Simba?Usitake kuhamisha magoli.Kwanini mlimtendea vile halafu leo mnavunga marafiki kwake?
 
Back
Top Bottom