Kwani alisajiliwa na Nkana akitokea Simba?Usitake kuhamisha magoli.Kwanini mlimtendea vile halafu leo mnavunga marafiki kwake?[/QUOTE]Alikomolewa Simba ndiyo akaja Yanga hadi Nkana wamemwona mali.
Mimi sio mpenzi wa Yanga wala simba kwa ujumla mpira wa TZ ni mmbovu ila kwa kesho Simba ndio mshindi. Mwenye neno atalisema saa1 ucku kesho.View attachment 974303
Hawa Nkana red devils kesho watavaa jezi gani wakuu?
Kwa ule mpira walionesha wiki iliyopita kwa mtu yeyote mpenda mpira mzuri, mpira wa burudani basi ile ni timu ya kwenda kuipa support?
Narudia tena hawa jamaa waje na timu tu mashabiki watatukuta Dar.
Ha ha ha ha ha ha nadhani watavaa hiyo ya Mbeya City au hyo ya mwisho kulia
Na Jumatano wana match ya ShirikishoJumatatu asubuhi wataanza kuwaza viporo. Vingi vitachacha huku Nkana akienda kwenye makundi.
tukutane hapa kesho saa moja mkuuMimi sio mpenzi wa Yanga wala simba kwa ujumla mpira wa TZ ni mmbovu ila kwa kesho Simba ndio mshindi. Mwenye neno atalisema saa1 ucku kesho.
hawa watu lazima wachanganyikiwe,Na Jumatano wana match ya Shirikisho
Watoto wa TFF hao, watasema wamechoka wakiuguza maumivu itasogezwa mbele.Na Jumatano wana match ya Shirikisho
Naamini Mikia akikalia hutarudi hapa keshoNitarudi katika Uzi huu SAA kumi na mbili na dakika tano
Ww nguo zako za kijani Au njano sisi tukikuona jukwaani tutajua Ww ni nan..View attachment 974303
Hawa Nkana red devils kesho watavaa jezi gani wakuu?
Kwa ule mpira walionesha wiki iliyopita kwa mtu yeyote mpenda mpira mzuri, mpira wa burudani basi ile ni timu ya kwenda kuipa support?
Narudia tena hawa jamaa waje na timu tu mashabiki watatukuta Dar.
View attachment 974303

Hii ndoto ya saa tisa mchana kabisaInjinia soma ubao Simba 3-0 Nkana
Ila umeshaisomaHii ndoto ya saa tisa mchana kabisa
Wewe ndo unaisoma,anyway si mbaya mnachukua nafasi ya mtibwa shirikishoIla umeshaisoma
Endeleen kujichagulia timuWewe ndo unaisoma,anyway si mbaya mnachukua nafasi ya mtibwa shirikisho
Kesho usizime data tuEndeleen kujichagulia timu
Hahaaaa jinga sana biashara united timu ya wanaume murisyaHata Biashara United mashabiki waliwakuta Taifa dhidi ya Timu ya Wananchi