Msaada, Nkana FC huwa wanavaa jezi gani ugenini?

Msaada, Nkana FC huwa wanavaa jezi gani ugenini?

Alikomolewa Simba ndiyo akaja Yanga hadi Nkana wamemwona mali.
Kwani alisajiliwa na Nkana akitokea Simba?Usitake kuhamisha magoli.Kwanini mlimtendea vile halafu leo mnavunga marafiki kwake?[/QUOTE]
Timu ya mwisho kabla ya Nkana ni Yanga. Hili ndiyo la msingi.
 
View attachment 974303
Hawa Nkana red devils kesho watavaa jezi gani wakuu?
Kwa ule mpira walionesha wiki iliyopita kwa mtu yeyote mpenda mpira mzuri, mpira wa burudani basi ile ni timu ya kwenda kuipa support?
Narudia tena hawa jamaa waje na timu tu mashabiki watatukuta Dar.
Mimi sio mpenzi wa Yanga wala simba kwa ujumla mpira wa TZ ni mmbovu ila kwa kesho Simba ndio mshindi. Mwenye neno atalisema saa1 ucku kesho.
 
View attachment 974303
Hawa Nkana red devils kesho watavaa jezi gani wakuu?
Kwa ule mpira walionesha wiki iliyopita kwa mtu yeyote mpenda mpira mzuri, mpira wa burudani basi ile ni timu ya kwenda kuipa support?
Narudia tena hawa jamaa waje na timu tu mashabiki watatukuta Dar.
Ww nguo zako za kijani Au njano sisi tukikuona jukwaani tutajua Ww ni nan..
Kama Huna jezi ya njano/kijani vaa hata shati la chama chako pendwa..
 
Kesho kama wewe yanga na unaisapoti Nkana piga jezi nyeupe, ni ya ugenini kama ya SIMBA, au piga nyekundu kabisa. Ndio rangi yao kama SIMBA.
 
Back
Top Bottom