Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,422
- 7,350
Subiri tulifikie darajaNaamini Mikia akikalia hutarudi hapa kesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri tulifikie darajaNaamini Mikia akikalia hutarudi hapa kesho
Aaaa aaaa AAAMkuu MSAGA SUMU leo mmefanya vizuri kuvaa jezi nyeupe.Mngevaa zile njano + kijani zenu mngetuongezea hasira ya kumpiga huyo Nkana wenu 5 - 1.
Kwenye makundi tutapangwa na mwarabu,jiandaeni tena kuvaa white au red.
Bado uko nao?Mm binafsi kesho ntakuwa Nkana
Umeelewa sasa😀😀😀😀😀Hahahaaa. Naona umeanza kuweweseka Mtani. Magoli hayaingiagi kirahisi hivyo afadhali ungesema kamoja hata ningekuelewa ila tatu. Hapana.
Yule mjinga tu shabiki maandazi @FrankwanjiruWanjiru Aka Wanjiku kapotea kabisa. Nadhani anawaonyesha Nkana njia ya kutokea.
Chezea Tripple C.
Utateseka.
View attachment 974303
Hawa Nkana red devils kesho watavaa jezi gani wakuu?
Kwa ule mpira walionesha wiki iliyopita kwa mtu yeyote mpenda mpira mzuri, mpira wa burudani basi ile ni timu ya kwenda kuipa support?
Narudia tena hawa jamaa waje na timu tu mashabiki watatukuta Dar.
Habari yako mkuuJumatatu asubuhi wataanza kuwaza viporo. Vingi vitachacha huku Nkana akienda kwenye makundi.
Nyeupe vp umevaa leoView attachment 974303
Hawa Nkana red devils kesho watavaa jezi gani wakuu?
Kwa ule mpira walionesha wiki iliyopita kwa mtu yeyote mpenda mpira mzuri, mpira wa burudani basi ile ni timu ya kwenda kuipa support?
Narudia tena hawa jamaa waje na timu tu mashabiki watatukuta Dar.
Labda makundi ya WhatsuppJumatatu asubuhi wataanza kuwaza viporo. Vingi vitachacha huku Nkana akienda kwenye makundi.
Naamini Mikia akikalia hutarudi hapa kesho
Jamani muwe mnaweka akiba ya maneno hii post nimejikuta nacheka tuJumatatu asubuhi wataanza kuwaza viporo. Vingi vitachacha huku Nkana akienda kwenye makundi.
Ndiyo utani wa mpira hakuna kitu kipya. Yanga mbona tulipitia sana hayo. Bado kwenye makundi ni hayo hayoJamani muwe mnaweka akiba ya maneno hii post nimejikuta nacheka tu