Afisa Tabibu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 511
- 848
Sikuhiz umeanza tabia mbaya😀Kwenye huu uzi hawakosi walimu wawili watatu.
Ni utani kidogo.Sikuhiz umeanza tabia mbaya[emoji3]
Mnaelezwa ukweli,mnaanza matusi.Ulitaka awadanganye?Face the fact!Huyo jamaa itakuwa anavuta mavi ya punda
Hiyo developer option ipo sehemu Gani!?Nenda kwenye simu yako hafu weka OFF Developer Options.
Ata mi nilisumbuliwa ivo ivo ila sahivi fresh.
Kwenye settings chini chini kule, fanya kusearch ukishaingia kwenye settings utaiona.Hiyo developer option ipo sehemu Gani!?
Kwenye settings chini chini kule, fanya kusearch ukishaingia kwenye settings utaiona.
Sahihi kabisa na shukran pia.Nenda kwenye simu yako hafu weka OFF Developer Options.
Ata mi nilisumbuliwa ivo ivo ila sahivi fresh.
Naomba msaada nikilog in kweny account yangu ya NMB mkononi inakuja haya maneno na app ina closeView attachment 2696082
Kwangu inaleta hivi kama hapa chiniNaomba msaada nikilog in kweny account yangu ya NMB mkononi inakuja haya maneno na app ina closeView attachment 2696082
Thanks,, suluhu hapa yaweza kuwa Nini mkuuSimu yako haiko secured kuna app zisizo salama ume install , NMB mkononi iki sense hiyo hali huwa haifanyi kazi ili kulinda taarifa zako