Msaada: NMB Mkononi App inanigomea

Msaada: NMB Mkononi App inanigomea

Nimemisi cocktails za paradiso na mandazi ya jehanamu achana na grants za kuzimu
 
Naomba msaada nikilog in kweny account yangu ya NMB mkononi inakuja haya maneno na app ina closeView attachment 2696082

Naomba msaada nikilog in kweny account yangu ya NMB mkononi inakuja haya maneno na app ina closeView attachment 2696082
Kwangu inaleta hivi kama hapa chini
Screenshot_20240907-135310.jpg
 
Simu yako haiko secured kuna app zisizo salama ume install , NMB mkononi iki sense hiyo hali huwa haifanyi kazi ili kulinda taarifa zako
 
Back
Top Bottom